GET /api/v0.1/hansard/entries/1192103/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1192103,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1192103/?format=api",
    "text_counter": 120,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, singependa kujulishwa chochote na Seneta wa Meru kwa sababu najua athari za Miraa na Muguka . Vijana wengi wameathirika na mambo haya. Mbali wanalia kwamba ushuru na kodi wanazotozwa ziko juu, ningependekeza ziongezwe maradufu ili mmea huo usiweze kufika Mombasa na Pwani kwa jumla ili vijana wetu waokoke. Kila kijana ambaye amemaliza shule hukimbia kukaa kula"
}