GET /api/v0.1/hansard/entries/1192109/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1192109,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1192109/?format=api",
    "text_counter": 126,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, nimemsikiza ndugu yangu, Sen. Faki. Kitu chochote duniani kikizidishwa huwa na tahadhari yake. Ni vizuri Sen. Faki awafunze vijana kutoka Pwani. Hayo maneno ya kusema kuwa vijana wameshindwa kushika nyumba si kwa sababu ya mmea ule. Mtu mzima akiamua kutafuta Miraa au muguka---"
}