GET /api/v0.1/hansard/entries/1192111/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1192111,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1192111/?format=api",
    "text_counter": 128,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Ukipitisha kile kiwango ambacho kimekubalika kwa kitu chochote hata maziwa, chakula ama kingine, kinaleta madhara. Vijana wetu wa pale Pwani waambiwe ya kwamba ule mmea si mbaya lakini wasipitishe kiwango kinachohitajika. Ni mmea mzuri na unaletea nchi yetu ya Kenya mapato mengi. Kwa hivyo---"
}