GET /api/v0.1/hansard/entries/1192125/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1192125,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1192125/?format=api",
"text_counter": 142,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika, hili swala la Miraa na Muguka ni nyeti katika eneo la Kaunti ya Mombasa na tumelizungumzia. Tuko na utafiti ambao umefanyika unaonyesha athari hizi za mimea hii miwili. Ni kama bhangi. Bhangi ilipigwa marufuku kwa sababu ukivuta bhangi inafanya kichwa chako kuruka. Kwa hivyo, ukila Muguka na “miraa” kwa siku mbili mfululizo---"
}