GET /api/v0.1/hansard/entries/1192134/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1192134,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1192134/?format=api",
    "text_counter": 151,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Tungependa maswala haya yazungumziwe kisawasawa. Si lawama kwamba tunalipisha kodi nyingi kwa mimea hii. Tunataka ile kodi iongezwe ili mimea hii isiweze kufika kaunti ya Mombasa na kuathiri vijana wetu wa kike na kiume."
}