GET /api/v0.1/hansard/entries/1192145/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1192145,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1192145/?format=api",
"text_counter": 162,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Shakila Abdalla",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 380,
"legal_name": "Shakila Abdalla",
"slug": "shakila-abdalla"
},
"content": "Bw. Spika, asante kwa kunipa fursa hii. Ninafikiri daraja linaweza kuchangia kwa ajali kwa kiasi fulani, lakini madereva wa miraa pia wanaendesha magari vibaya. Wanaendesha magari kama ndege. Ukikutana na magari ya miraa barabarani, usipochunga, watapita na wewe."
}