GET /api/v0.1/hansard/entries/1192147/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1192147,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1192147/?format=api",
"text_counter": 164,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Shakila Abdalla",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 380,
"legal_name": "Shakila Abdalla",
"slug": "shakila-abdalla"
},
"content": "Ni sawa, Bw. Spika. Ninaelekea huko. Kitu kingine ambacho ningependa kuongezea ni kwamba, utakuta hata vijana wadogo wa shule wanatumia pocket money kununua muguka. Pakiti moja ya Muguka inawezapatikana kwa shilingi 50. Utapata mtoto amekula Muguka hadi macho yake yametoka kama ya ngombe. Halafu unashindwa mtoto huyo amekula nini ama amefanya nini? Ni kwa sababu ya hiyo Muguka. Bw. Spika, ukweli ni kwamba, Muguka inaadhiri vijana. Muguka inasababisha ulevi na inafaa idhibitiwe. Bila kufanya hivyo, tutawapoteza vijana wetu kwa Muguka na"
}