GET /api/v0.1/hansard/entries/1192149/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1192149,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1192149/?format=api",
"text_counter": 166,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Shakila Abdalla",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 380,
"legal_name": "Shakila Abdalla",
"slug": "shakila-abdalla"
},
"content": "Afadhali hata miraa. Ni kama Muguka huwekwa kemikali ndani yake wakati inapokuzwa. Ndio sababu utakuta vijana wakila kidogo tu, akili zao zinabadilika na macho yanatoka nje. Unapata mtoto hawezi hata kula chakula. Kwa hivyo, bila shaka,"
}