GET /api/v0.1/hansard/entries/1192739/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1192739,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1192739/?format=api",
    "text_counter": 87,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Matuga, ANC",
    "speaker_title": "Hon. Kassim Tandaza",
    "speaker": null,
    "content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika. Kwanza, nachukua fursa hii kumshukuru Mwenyenzi Mungu aliyetuwezesha sote kuwa hapa. Pia, nawashukuru wakazi wa Matuga kwa ujumla kwa kuniregesha Bungeni kwa mara ya pili. Ninampa kongole Mhe. KJ kwa Miswada na mijadala anayoleta hapa. Moja kwa moja, inaashiria kwamba yeye atakuwa Mbunge wa Dagoretti labda mpaka pale atakapoamua kwenda sehemu nyingine. Yeye huleta mambo ambayo yanaweza kubadilisha nchi hii kwa kubadilisha Wakenya wenye taaluma mbalimbali. Ninachukua hii fursa pia kumwelezea Mhe. KJ kuwa mimi ni Naibu Mwenyekiti wa Kamati ya NG-CDF. Sasa hii tunazungumzia hili swala kama mjadala. Mara nyingi suala kama hili huishia hapo tu iwapo limetufikia kama mjadala. Kwa hivyo, ninatoa ombi kwake The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}