GET /api/v0.1/hansard/entries/1192812/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1192812,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1192812/?format=api",
    "text_counter": 160,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kwale County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Fatuma Masito",
    "speaker": null,
    "content": " Samahani sana, Mhe. Spika wa Muda. Nimeingia hapa saa nne kamili lakini jina langu halijatajwa. Mhe. Zamzam wa Mombasa ameingia dakika tano zilizopita. Sijui kama kuna mtafaruku fulani katika chombo chako au kweli unamaanisha kuwa Mheshimiwa wa Mombasa ndiye anapaswa kuzungumza wakati huu? Niendelee?"
}