GET /api/v0.1/hansard/entries/1192816/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1192816,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1192816/?format=api",
"text_counter": 164,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kwale County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Fatuma Masito",
"speaker": null,
"content": " Ahsante sana Mhe. Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii ya kipekee nami niweze kuchangia mjadala huu ili nipatikane katika kumbukumbu za Bunge la Taifa hili. Naunga mkono Hoja hii iliyoletwa na Mbunge wa Dagoretti Kusini, Mhe. Kiarie. Vijana wameachwa nyuma na hali tunawatumia sana wakati wa kampeini. Pia, tusisahau akina mama. Pale Pwani, akina mama ni wapishi wazuri sana. Hiyo naitambua kama sanaa. Wanawake hawa wa Pwani wakikupikia, utadhania ni wapishi walio na degree au diploma. Ni kwa sababu ya ufanisi katika uwanja huo wa mapishi. Mhe. Spika wa Muda, kama kuna msaada au pesa zinazotolewa, basi wanawake hawa Kenya nzima…"
}