GET /api/v0.1/hansard/entries/1193098/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1193098,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1193098/?format=api",
    "text_counter": 224,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Asante, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii ili ya kuunga mkono uteuzi wa Mkuu wa Polisi, Mhandisi Japheth Koome. Tunajua alifanya kazi nzuri sana wakati alikuwa Mkuu wa Polisi Nairobi. Ndio maana tunauunga mkono uteuzi wake kuwa IG. Jina lake ni la kutajika katika kila nyumba kwa sababu ya kazi nzuri aliyofanya na uzoefu alionao wa utendakazi wake katika idara ya usalama. Natumai kuteuliwa kwake kutasaidia kupambana na saratani ya ufisadi. Vita dhidi ya ufisadi nchini Kenya vinafaa kuungwa mkono na watu wote. Idara ya polisi, hasa ya ujasusi, inachangia pakubwa katika kumaliza ufisadi."
}