GET /api/v0.1/hansard/entries/1193143/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1193143,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1193143/?format=api",
    "text_counter": 269,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Kesi kama hizi zimeripotiwa na si kidogo. Ni nyingi. Yote haya ni kwa sababu ile nidhamu inakuwa ni kidogo. Nina imani ya kwamba Bw. Koome akiingia, hawa polisi wetu watapunguza mambo haya ya ulevi wa kiholela. Ulevi wa kiholela pia uletwa na kwamba wao wenyewe kwa wenyewe wanaweza kupigana risasi. Tumeona hizo habari za kwamba polisi anapiga mwingine risasi, mkewe"
}