GET /api/v0.1/hansard/entries/1193149/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1193149,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1193149/?format=api",
"text_counter": 275,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Asante, Bw. Spika. La mwisho ni kwamba tuko na imani kubwa kwa Bw. Koome. Tunatarajia atanyorosha mambo ili kila mtu awe kwa laini yake sawasawa. Vile vile, tunatarajia atatue swala la watu kukamatwa Alhamisi au Ijumaa, halafu inakuwa kwamba hawezi kuachiliwa kwa dhamana. Tunatumai ataweka mikakati ya kuhakikisha kwamba wanaoshikwa hawashikwi kwa misingi ya kisiasa. Asikubali kutumika kisiasa katika utendakazi wake kama Inspekta Jeneral wa Polisi."
}