GET /api/v0.1/hansard/entries/1193186/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1193186,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1193186/?format=api",
"text_counter": 312,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "limeshambulia PSC midhiri ya nyuki. Tume hili linafaa lijitolee ili tuweze kupambana na SRC kwa sababu Wabunge wana haki kulipwa mishahara. Tumekuja leo katika Jumba hili na tunapaswa kupewa sitting allowance . Lakini, tukisema hivyo, Wakenya wanasema tunajipenda na hakuna kitu kama hicho."
}