GET /api/v0.1/hansard/entries/1193187/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1193187,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1193187/?format=api",
"text_counter": 313,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Bibilia husema umpende mwenzako unavyojipenda mwenyewe. Tukiwa hapa, tunawashughulikia Wakenya na kufanya kazi ambazo wametutuma kufanya. Ukitembea pale mashinani kama vile Mbunge wa walio wengi alivyosema akitumia lugha ya Kiingereza, unaulizwa how much ?"
}