GET /api/v0.1/hansard/entries/1193194/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1193194,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1193194/?format=api",
    "text_counter": 320,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, sisi tuliochaguliwa katika Tume hili tunajua kuna janga. Kitabu cha Kusadikika husema ya kwamba mashujaa huchipuka wakati wa majanga. Sasa, kuna janga na nataka kuwahakikishia ya kwamba wale waliochaguliwa katika tume hili wataibuka wakiwa mashujaa. Asante Bw. Spika na naunga mkono."
}