GET /api/v0.1/hansard/entries/1193231/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1193231,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1193231/?format=api",
"text_counter": 357,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chimera",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika, Bibilia inasema, umtetee yule asiyeweza kujitetea. Nashukuru Seneta wenzangu kwa kuamka na kusimama kidete na Sen. Omogeni kwa sababu Tume hii inahitaji mtu mkakamavu na aliye na tajriba. Sitaki kuzungumza mengi. Niko na furaha, Sen. Omogeni ameweza kupata fursa hii ya kuhuduma. Sen. Omogeni, aluta continua. Wasikuvue nguo tena katika hali hii. Huku kwetu Upande wa Walio Wengi Katika Seneti, tuko jikoni, tunajipikia wenyewe, tunajiandalia, tunajipakulia na tunakula minofu. Karibu sana, Sen. Omogeni. Naunga mkono."
}