GET /api/v0.1/hansard/entries/1193427/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1193427,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1193427/?format=api",
    "text_counter": 152,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
    "speaker": null,
    "content": "Sasa tunaona mwelekeo mzuri. Kuweka Hazina ya Maeneo Bunge kwenye Katiba yetu kutaondoa msukosuko uliokuweko, ambapo mara kwa mara tulipelekwa kortini kutoka wakati wa nyuma mpaka hivi karibuni. Sasa NGCDF Act itakuwa miongoni mwa sheria kuu ya Kenya. Kama wanenaji wenzangu walivvosema, tusilizungumze jambo hili tu tukiwa kwenye sherehe bali tuhakikishe kwamba unapofika wakati wa kulipigia kura sisi sote tuwe hapa bungeni ili tuliunge mkono jambo hili na tulipitishe."
}