GET /api/v0.1/hansard/entries/1193428/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1193428,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1193428/?format=api",
    "text_counter": 153,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
    "speaker": null,
    "content": "Nazungumza leo nikiwa na furaha tele. Eneo Bunge la Jomvu lilibuniwa mwaka wa 2013. Kabla ya wakati huo, tukihitaji huduma tulikuwa tukienda kwenye ofisi ya Eneo Bunge la Changamwe. Eneo Bunge la Jomvu lilipobuniwa mwaka wa 2013, nikabahatika kuwa mjumbe wa kwanza kuliwakilisha hapa bungeni na mpaka sasa ninawakilisha watu wa Jomvu, huu ukiwa mhula wangu wa tatu."
}