GET /api/v0.1/hansard/entries/1193432/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1193432,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1193432/?format=api",
    "text_counter": 157,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
    "speaker": null,
    "content": "Yeye ni rafiki yangu, na ninampongeza kwa kuchaguliwa kuwa Commissioner wa Parliamentary Service Commission (PSC). Vile vile, nilifanya naye kazi kutoka mwaka wa 2013 nikiwa katika chama cha Wiper Democratic Movement. Vile vile, nachukua fursa hii kumpongeza ndugu yangu, Mhe. Mohamed Ali na dada yangu, Mhe. Mishi Mboko kwa kuteuliwa kuwa ma-Commissioner wa PSC. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}