GET /api/v0.1/hansard/entries/1193435/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1193435,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1193435/?format=api",
    "text_counter": 160,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
    "speaker": null,
    "content": "Katika eneo Bunge la Jomvu, tulifanya maendeleo mengi sana tukitumia pesa kutoka hazina ya NG-CDF. Katika kila wodi tumeendeleza mambo kadha wa kadha. Kwa mara ya kwanza, tumewakumbuka walemavu kwa kuwawekea madarasa spesheli kule Kwashee Primary School na Miritini Primary School, tukishirikiana na World Bank, ili nawo pia wajihisi ni binaadamu kama binaadamu wengine. Tumetumia peasa za NG-CDF kuwajengea hayo madarasa spesheli. Kwa mara nyingine tena, ningependa kuwapongeza waheshimiwa Mule na Gichimu kwa kuileta Hoja hii bungeni. Nawaomba wabunge wenzangu kuhakikisha kwamba wakati wa kuipigia kura Hoja hii utakakaopwadia, sote tuto katika Bunge hili ili tuipitishe. Kwa hayo machache, ninaunga mkono. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}