GET /api/v0.1/hansard/entries/1193544/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1193544,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1193544/?format=api",
    "text_counter": 269,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Malindi, ODM",
    "speaker_title": "Mhe. Amina Mnyazi",
    "speaker": null,
    "content": " Mwanzo ningependa kuchukua fursa hii kukushukuru kwa kunipatia nafasi hii ili nitoa sauti yangu na kujadili kilicho mbele ya Bunge hili leo. Ningependa pia kumshukuru Mhe. Mule kwa mjadala huu kwa sababu ni jambo ambalo limeshika Kenya nzima. Mwanzo kabisa, nashangazwa sana na wale ambao wanapinga NG-CDF."
}