GET /api/v0.1/hansard/entries/1193552/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1193552,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1193552/?format=api",
    "text_counter": 277,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kisauni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
    "speaker": {
        "id": 13383,
        "legal_name": "Ali Menza Mbogo",
        "slug": "ali-menza-mbogo"
    },
    "content": " Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda. Nitaiendeleza hii lugha ya taifa kwa sababu watu huringa na lugha yao. Kwa hivyo, nakushukuru pia kwa kulifahamu swala hilo. Ukienda Urusi, wanazungumzia lugha yao. Ukienda Uarabuni, wanazungumza lugha yao na wameendelea zaidi. Hapa kwetu, tumejaribu kuchukua lugha ya kigeni na kuiweka mbele. Ndiyo sababu hata hatuwezi kutengeza sindano ya kushona nguo. Basi wacha niachie hapo."
}