GET /api/v0.1/hansard/entries/1193882/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1193882,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1193882/?format=api",
    "text_counter": 229,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Methu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13581,
        "legal_name": "Methu John Muhia",
        "slug": "methu-john-muhia"
    },
    "content": "Bw. Spika, nami pia nitajaribu kwa sababu tulikuwa na mafunzo juma lililopita. Mmojawapo wa waelekezi alikuwa Sen. Madzayo ambaye in Kiongozi wa Wachache katika Seneti. Aliniambia kwamba, nikitaja jina lako, ambalo ni Spika Amason Jefferson Kingi, nafaa kuongeza “Mzee wa Orodha wa Moyo wa Dhahabu ambayo ni Elder of the Order of the Golden Heart (E.G.H.) kwa lugha ya Kiingereza."
}