GET /api/v0.1/hansard/entries/1194202/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1194202,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194202/?format=api",
"text_counter": 174,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Asante sana, Mhe. Spika. Leo umenipa nguvu kwa sababu ule usemi ulioutoa juzi, wakati sikuwepo, ulifanya nikavamiwa sana. Watu wengi kule Mombasa wanajua kuwa mimi ni mama mwenye heshima zangu. Nikiamka najua nasema kitu gani. Najua wakati wa kuongea na wakati wa kunyamaza. Kwa hivyo, nachukua fursa hii kukushukuru sana kwa kutoa mwelekeo kwa kuwa sikuwepo Bungeni siku hiyo. Nina imani kuwa sote tumeweza kupata funzo hapa. Ni vyema tujue jinsi ya kuelekeza mazungumzo yetu. Asante sana, Mhe. Spika."
}