GET /api/v0.1/hansard/entries/1194327/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1194327,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194327/?format=api",
"text_counter": 299,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "kupewa mawaidha mazuri ya kukuza jamii zao na kutoka katika ndoa zilizo na misukosuko. Kwa hivyo, mimi ninaskia uchungu sana nikiona jaji anasitisha mgao kama huu. Ingekuwa vizuri kushauri kwanza kabla ya kutoa uamuzi. Kuna vitu vingine ambavyo huwezi kuvikata ukavitoa. Hizi ni pesa zinazoenda kumfaidi mwananchi yule wa chini kabisa — mwananchi ambaye anakatwa ushuru akinunua mkate na sukuma wiki. Lakini huyu mwananchi yuko katika hali duni, tata na ya umaskini. Pesa hizi zingemuwezesha kubadilisha maisha yake, akatoka kuishi chini ya dola mpaka juu ya dola."
}