GET /api/v0.1/hansard/entries/1194328/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1194328,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194328/?format=api",
"text_counter": 300,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "Ningependa kushauri Wabunge na Mhe. Spika wa Muda kuwa tumejadili mjadala huu humu Bungeni sana. Wakati mwafaka umefika tuupitishe ili uwekwe katika nakala na kumbukumbu ya vitabu vya taifa hili, kuwa Wabunge wa taifa na Bunge la Kumi na Tatu la Taifa la Kenya lilipitisha Hoja kuwa NG-CDF na NGAAF zirudi ili kusaidia wananchi mashininani. Nina mengi ya kusema lakini naona umebonyeza kidude pale. Kwa hivyo, sina wakati tena. Nashukuru sana na nina support mjadala huu kwa kusema NG-CDF na NGAAF zirudi ili wananchi wafaidi. Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda."
}