GET /api/v0.1/hansard/entries/1194616/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1194616,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194616/?format=api",
    "text_counter": 170,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Magarini, ODM",
    "speaker_title": "Mhe. Harisson Kombe",
    "speaker": null,
    "content": " Asante, Mhe. Spika wa Muda kwa kuniona. Ningependa kumpongeza Mhe. Mule na Mhe. Gichimu kwa kuileta Hoja hii ambayo inaitisha marekebisho ya Katiba ili tuweze kuiweka hazina ya maendeleo ya Maeneo Bunge ndani ya Katiba."
}