GET /api/v0.1/hansard/entries/1194705/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1194705,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194705/?format=api",
"text_counter": 20,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kamukunji, JP",
"speaker_title": "Mhe. Yussuf Hassan",
"speaker": {
"id": 398,
"legal_name": "Yusuf Hassan Abdi",
"slug": "yusuf-hassan-abdi"
},
"content": " Asante sana, Mhe. Spika wa Muda. Nafurahi sana kwamba hii leo tumekianza kikao hiki cha Bunge kwa lugha yetu tamu ya mama ya Kiswahili. Arifa ya Hoja yangu ya leo inahusiana na kushughulikia utaratibu wa Kiswahili na ukuzaji wa Kiswahili."
}