GET /api/v0.1/hansard/entries/1194712/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1194712,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194712/?format=api",
"text_counter": 27,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ilani",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "kwako. Wanaweza fanya hivyo kwa kuchukua makaratasi ili waweze kuandika maandishi madogo madogo ili wasomeshwe. Karibia, Mhe. Yusuf. Mhe. Wangwe, kwenye Hoja ya kufahamisha, unayetaka kumfahamisha ni lazima awe anaongea. Kwa sasa, Mhe. Yusuf ndiye ako na usukani. Mhe. Hassan, endelea tafadhali."
}