GET /api/v0.1/hansard/entries/1194716/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1194716,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194716/?format=api",
"text_counter": 31,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kitui ya Kati, WDM",
"speaker_title": "Mhe. (Dkt.) Makali Mulu",
"speaker": null,
"content": " Asante sana Mhe. Spika wa Muda. Niko na heshima kuu kwa Mhe. anayezungumza kwa sasa. Hili jambo la kusema asonge mbele kule linanitatiza. Naamini kuwa Ukumbi huu unatukubalisha tuongee tukiwa upande wowote. Sielewi lengo la Kiongozi wa Chama cha walio Wachache ni nini. Inamaanisha pia nasi tutakuwa tunakaa pale mbele? Mimi ni backbencher, na ninaona ugumu kuongea pale mbele. Ningependa uturuhusu tuongee mahali popote katika Ukumbi huu."
}