GET /api/v0.1/hansard/entries/1194717/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1194717,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194717/?format=api",
    "text_counter": 32,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mhe. Martha Wangari",
    "speaker_title": "Spika wa Muda",
    "speaker": {
        "id": 13123,
        "legal_name": "Martha Wangari",
        "slug": "martha-wangari"
    },
    "content": " Mhe. Makali Mulu, hilo lilikua ombi la Kiongozi wa Chama cha walio Wachache kwenye Bunge. Kwa fikira yangu, nadhani anataka kufuata matamshi na kuangalia jinsi mdomo wa Mhe. Yusuf unavyotamka maneno katika lugha ya Kiswahili. Nakubaliana nawewe kwamba unaeza zungumza mahali ulipo. Endelea Mhe. Yusuf."
}