GET /api/v0.1/hansard/entries/1194720/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1194720,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194720/?format=api",
    "text_counter": 35,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ilani",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kifungu cha 137 cha Mkataba wa Uanzilishi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki haujatekelezwa; BUNGE hili linahimiza Serikali Kuu kupitia Wizara ya Michezo, Utamaduni na Mirathi, kwa ushirikiano na vyombo vya kitaifa na vya kibinafsi vinavyohusika na uboreshaji wa lugha ya Kiswahili kuanzisha rasmi Baraza la Kiswahili la Kenya na kuzindua mikakati, mbinu na sera mahususi zinazohitajika kukuza na kuendeleza lugha ya Kiswahili."
}