GET /api/v0.1/hansard/entries/1194726/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1194726,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194726/?format=api",
"text_counter": 41,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kamukunji, JP",
"speaker_title": "Mhe. Yusuf Hassan",
"speaker": {
"id": 398,
"legal_name": "Yusuf Hassan Abdi",
"slug": "yusuf-hassan-abdi"
},
"content": "Kiswahili kimechangia pakubwa katika ukombozi wa uhuru wa Mwafrika, uhuru wa kisiasa pia katika harakati za mapambano ya uhuru wa fikira na utamaduni; na pia mentaldecolonization, yaani ukombozi wa akili. Huwezi ukapata maendeleo ama kumfundisha mtoto wako na apate akili ya kimaendeleo ikiwa anatumia lugha ya kigeni ya wabeberu. Ukitazama nchi zilizoendelea duniani, zinatumia lugha za kiasili; kwa mfano India, Uchina, Vietnam na"
}