GET /api/v0.1/hansard/entries/1194745/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1194745,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194745/?format=api",
"text_counter": 60,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ilani",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Mwisho kabisa, katika mpango wa Kenya Kwanza wa “ Bottom-Up”, lazima kuwe na lugha inayojumuisha kila moja ili hata ‘hustlers’ walioko chini waweze kutembea nchi nzima kutoka Kirinyaga, Kisumu hadi Somalia wakifanya biashara bila pingamizi ya lugha kwa sababu Kiswahili kitakuwa kimedumishwa. Wabunge wenzangu, ningependa Kiswahili kitukuzwe na kiheshimike kwa kudumisha Baraza la Kiswahili la Kenya, na kushurutisha Serikali kuhakisha kuwa Baraza hili limebuniwa na Kiswahili kueleweka."
}