GET /api/v0.1/hansard/entries/1194749/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1194749,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194749/?format=api",
    "text_counter": 64,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nyali, UDA",
    "speaker_title": "Mhe. Mohamed Ali",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante sana, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii. Kwanza kabisa, naunga mkono Hoja hii. Vile vile, kubuniwa kwa Baraza la Kiswahili la Kenya kutaleta mabadiliko kabambe nchini Kenya. Kwa mfano, dhana ya kuleta uzalendo katika nchi hii ni kuhakikisha kwamba sisi sote tunazungumza lugha moja. Leo hii, wameondoka makaburu, wakaingia makaburu weusi ambao hawaipendi lugha yao – waafrika"
}