GET /api/v0.1/hansard/entries/1194756/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1194756,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194756/?format=api",
    "text_counter": 71,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Seme, ODM",
    "speaker_title": "Mhe. (Dkt.) James Nyikal",
    "speaker": null,
    "content": "Lazima mjue hapa leo si mambo ya grammar, bali ni mambo ya kusema vile tunataka. Lazima tuelewane. Wacha grammar; kitu tunataka ni kuelewana. Watu wengi Kenya nzima wanazungumza Kiswahili; wengi kushinda wale ambao wanazungumza Kiingereza."
}