GET /api/v0.1/hansard/entries/1194769/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1194769,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194769/?format=api",
    "text_counter": 84,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Seme, ODM",
    "speaker_title": "Mhe (Dkt.) James Nyikal",
    "speaker": null,
    "content": "Tena kwa sababu ya ukabila, watu wakifanya mitihani au kutafuta kazi, badala ya kuangalia mtu ana uwezo gani, tunaangalia anatoka upande gani. Kwa hivyo, saa nyingine watu ambao wako na ujuzi wananyimwa kazi, na watu ambao hawana ujuzi wanapewa kazi. Hio"
}