GET /api/v0.1/hansard/entries/1194773/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1194773,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194773/?format=api",
"text_counter": 88,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mhe. Martha Wangari",
"speaker_title": "Spika wa Muda",
"speaker": {
"id": 13123,
"legal_name": "Martha Wangari",
"slug": "martha-wangari"
},
"content": " Asante sana Mhe. Nyikal. Nafikiri umewashangaza wengi kwa ufasaha wako wa lugha ya Kiswahili. Waheshimiwa Wabunge, ningependa kutambua waalimu na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Serare, kutoka eneo Bunge la Kajiado Kaskazini katika Kaunti ya Kajiado, ambao wameketi kwenye eneo la Spika. Tuwakaribishe hapa wanapofuatilia mjadala katika Bunge hili."
}