GET /api/v0.1/hansard/entries/1194782/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1194782,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194782/?format=api",
    "text_counter": 97,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Imenti Kaskazini, Huru",
    "speaker_title": "Mhe. Rahim Dawood",
    "speaker": null,
    "content": ", kwa Kiswahili, ilikuwa vigumu sana kwa watu wengi kutafsiri maneno. Hii Hoja ni muhimu sana. Namshukuru Mhe. Hassan, na asiiwachie hapa, lakini afanye mpango na Wizara ya Elimu pamoja na Kamati ya Elimu ndiyo iweze kufanywa sheria. Mhe. Spika wa Muda, sitaki kuongea zaidi ya hapo. Ningependa wenzangu wote waunge Hoja hii mkono ndiyo tuipeleka mbele, ili watu waweze kuongea Kiswahili. Ni muhimu sana kuongea Kiswahili. Nikiwa kwenye kampeni, sijawai kuongea Kizungu. Watu wa eneo langu la Bunge hawafahamu Kizungu; labda niongee Kimeru ama Kiswahili. Mhe. Naibu Spika wa Muda, naunga Hoja hii mkono. Nataka kuwachia hapo. Asante sana."
}