GET /api/v0.1/hansard/entries/1194792/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1194792,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194792/?format=api",
"text_counter": 107,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ilani",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "– kwa lugha ya Kiswahili. Hata hivyo, si Wabunge wengi ambao wameziangalia, kuzisoma na kujaribu kuzitumia. Hii ni nafasi mwafaka ya kuwahimiza Waheshimiwa wenzangu wazisome Kanuni za Bunge wazielewe na wajaribu kutumia Kiswahili katika Bunge hili. Kwa hayo machache, naiunga mkono Hoja hii iliyoletwa na Mheshimiwa Yusuf Hassan, Mbunge wa Kamukunji."
}