GET /api/v0.1/hansard/entries/1194824/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1194824,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194824/?format=api",
"text_counter": 139,
"type": "speech",
"speaker_name": "Endebess, UDA",
"speaker_title": "Mhe. (Daktari) Robert Pukose",
"speaker": null,
"content": "Kiswahili kilibuniwa kutoka kwa lugha za kibantu na Kiarabu. Kwa hivyo, ni lazima tuhakikishe kwamba Kiswahili tunachotumia ni sanifu, ili kitumike kwa mambo yote. Jamii zingine zinatumia Kiswahili ambacho ni tofauti. Kwa mfano, majirani wangu kama Mhe. Kalasinga hapa, akitaka kusema anaenda, anasema “naendako” ama “nakujako”. Hapa unaona lugha ya Kiswahili haitumiwi vizuri."
}