GET /api/v0.1/hansard/entries/1194829/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1194829,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194829/?format=api",
"text_counter": 144,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ilani",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "kuupitisha hapa Bungeni ili uweze kuwa miongoni mwa Sheria za Kenya. Tukifanya hivyo, tutaliwezesha Baraza la Kiswahili lililopendekezwa hapa kufanya kazi ambayo tunaizungumzia. Tunapoileta kama Hoja sasa hivi, hatujafanya chochote. Pale tumeonyesha maoni ama nia yetu ya kufanya hayo. Ahsante, Mhe. Spika wa Muda."
}