GET /api/v0.1/hansard/entries/1194834/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1194834,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194834/?format=api",
"text_counter": 149,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mandera Kusini, UDM",
"speaker_title": "Mhe. Abdul Haro",
"speaker": null,
"content": "Baraza la Kiswahili likibuniwa litasaidia kutoa huduma za tafsiri kwa lugha ya Kiswahili. Ninafurahi kwa sababu lugha ya Kiswahili inazungumzwa na wananchi wengi katika kanda ya Afrika Mashariki, ambako tuko. Pia, ni lugha rasmi ambayo inazungumzwa katika Umoja wa Afrika na Umoja wa Mataifa."
}