GET /api/v0.1/hansard/entries/1194841/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1194841,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194841/?format=api",
    "text_counter": 156,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": ": Asante sana, Mhe. Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii niweze kuchangia Hoja hii kuhusu kubuniwa kwa Baraza la Kiswahili katika taifa letu la Kenya. Kwanza kabisa, namshukuru na kumpongeza mshauri wangu wa kisiasa, Mhe. Yusuf Hassan, ambaye ni jirani yangu kutoka eneo Bunge la Kamukunji. Ameleta Hoja hii Bungeni kutokana na yale ambayo tunapitia kama Wabunge wa eneo hili la Nairobi. Eneo hili la Nairobi lina changamoto kubwa sana katika matumizi ya lugha ya Kiswahili. Hii ni kwa sababu, hapa Nairobi lugha ya Sheng imeweza kukoloea sana na ikawa ndio inatumika kwenye mitaa. Kwa kiwango kikubwa, mawasiliano ni kikwazo wakati wananchi tunaowakilisha wanataka huduma za Serikali. Kuna idadi kubwa ya watu ambao"
}