GET /api/v0.1/hansard/entries/1194862/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1194862,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194862/?format=api",
"text_counter": 177,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante sana, Mhe. Spika wa Muda. Kwanza nataka kumpongeza Mhe. Yusuf Hassan kwa kuleta Hoja hii. Nampongeza kwa sababu Mhe. Yusuf Hassan ni mheshimiwa mkakamufu ambaye tumefanya kazi naye katika Mabunge ya 11 na 12, na sasa tuko naye katika Bunge la 13. Kwa kuleta Hoja hili, ametufurahisha sana na pendekezo la kubuniwa kwa Baraza la Kitaifa la Kiswahili humu nchini. Tunafahamu kwamba katika mwaka wa 1964, kule Tanzania, walibuni Baraza la Kitaifa la Kiswahili linaloitwa BAKITA. Vile vile, katika mwaka wa 1994, kule Zanzibar wakaunda baraza linaloitwa"
}