GET /api/v0.1/hansard/entries/1194867/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1194867,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194867/?format=api",
    "text_counter": 182,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ilani",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Ni pongezi kwa Mhe. Yussuf Hassan kwa kuleta jambo njema. Sisi tunaotoka Pwani, ikiwa tumekuwa tukipata usingizi tukiwa tumejifunika blanketi nusu, leo tutajifunika blanketi nzima tukijua Kiswahili kinakombolewa nchini Kenya. Ahsante na Mwenyezi Mungu akubariki."
}