GET /api/v0.1/hansard/entries/1194869/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1194869,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194869/?format=api",
"text_counter": 184,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sotik, UDA",
"speaker_title": "Mhe. Francis Sigei",
"speaker": null,
"content": " Mhe. Spika wa Muda, ningependa kuchukua nafasi hii kuchangia hii Hoja ya maana. Pia ningependa kuchukua fursa hii kutoa shukrani kwa watu wangu wa Sotik walioona ni heri kunipatia fursa ya kuwahudumia. Nawapongeza. Baada ya kuwania hiki kiti mara tano, watu wa Sotik waliweza kunipa fursa hii. Nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa nafasi hii ya kuwahudumia wao. Leo ni siku ya maana sana kwangu kama mwakilishi wa Sotik kwa kuweza kuzungumza na Wakenya."
}