GET /api/v0.1/hansard/entries/1194870/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1194870,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194870/?format=api",
"text_counter": 185,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sotik, UDA",
"speaker_title": "Mhe. Francis Sigei",
"speaker": null,
"content": "Nikichangia huu mjadala, kwanza natoa shukrani za kipekee kwa Mhe. Yussuf Hassan. Najua yeye ni mkongwe. Ni mtu ambaye amefanya kazi nchini. Namtambua na nampa heshima. Namwona kama shujaa nchini kwa sababu ametetea tamaduni zetu. Mhe. Yussuf, tunakupongeza sana na Mungu akubariki."
}